Posts

FAHAMU AINA YA MITINDO YA NYWELE AMBAYO HUSAIDIA UKUAJI WA NYWELE ZAKO. (BEAUTY IS HAIR)

Image
  Mitindo ya nywele inayosaidia katika kukua kwa nywele na kuepusha nywele kukatika.Nywele na urembo karibu tuku hudumia. Karibu tukuhudumia kwa muonekano mzuri wa nywele zako. Pia tunakufikia ulipo kama utahitaji mpaka mlangoni kwako.Tunapatikana Dar es salaam,Makumbusho. KARIBUNI SANA

MITINDO YA NYWELE BORA KWA WATOTO

Image
 Tunasuka mitindo yote kwa watoto .Ndugu mzazi ikiwa unampenda mwanao basi mlete apendeze . Tunapatikana dar es salaam makumbusho pia tunatia huduma popote ulipo tunafika bila shaka.

OFA OFA OFA!! PATA PUNGUZO LA BEI KWA BEI POA.

Image
Karibu tukuhudumie kwa kukusuka mitindo mbalimbali ya nywele inayokwenda na wakati kwa bei poa katika msimu huu wa Sikukuu. Mitindo mbalimbali ya nywele inapatikana Hair style fashiontz

TUNASUKA MITINDO YA AINA MBALIMBALI KWA KUTUMIA MAFUTA MALAINI

Image
  Tunasuka nywele za mistari kwa kutumia mafuta ya nywele yanayosaidia kukuza nywele zako na kunilinda zisiweze kukatika.

MITINDO YA NYWELE INAYOPENDWA 2021 (HOT STYLES 2021)

Image
MITINDO YA NYWELE INAYOPENDWA 2021 (HOT STYLES 2021)   Hot style  kwa ajili ya bibi harusi,tunatumia nywele za asili kwa ajili ya kutengeneza mtindo huu na tunakupamba kwa kutumia maua mazuri yenye kuvutia na harufu nzuri.

MITINDO YA NYWELE INAYOKWENDA NA WAKATI KWA WANAUME. (HAIR STYLE FOR MEN).

Image
  MITINDO YA NYWELE INAYOKWENDA NA WAKATI KWA WANAUME. (HAIR STYLE FOR MEN). Mtindo mzuri wa nywele kwa wanaume unaowafanya kuwa na muonekano wa tofauti kwa bei nzuri Brazilian style                                             Thin hair style Njoo tukuhudumie ewe kijana unayetaka kwenda na fashion tunasuka mitindo ya aina zote kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu.

TAZAMA MITINDO MBALIMBALI YA NYWELE.

Image
 TAZAMA MITINDO MBALIMBALI YA NYWELE.  Tazama aina ya mitindo mbaliambali kwa muonekano mzuri na bora kwa ajili ya afya ya ngozi yako