Tunasuka mitindo yote kwa watoto .Ndugu mzazi ikiwa unampenda mwanao basi mlete apendeze . Tunapatikana dar es salaam makumbusho pia tunatia huduma popote ulipo tunafika bila shaka.
MITINDO YA NYWELE INAYOPENDWA 2021 (HOT STYLES 2021) Hot style kwa ajili ya bibi harusi,tunatumia nywele za asili kwa ajili ya kutengeneza mtindo huu na tunakupamba kwa kutumia maua mazuri yenye kuvutia na harufu nzuri.
MITINDO BORA YA NYWELE NA YA KISASA INAYOKWENDA NA WAKATI. Kutana na mitindo mbalimbali ya nywele inayokwenda na wakati na inayokufanya kuwa na mvuto na muonekano ulio bora kabisa.Pia tunasuka mitindo ya aina yote kwa wanawake,wanaume na watoto kwa bei ambayo ni nafuu kabisa. 0627171832
Comments
Post a Comment