MITINDO MIZURI YA NYWELE YA KUPENDEZA KWA AJILI YA WATOTO.
MITINDO MIZURI YA NYWELE YA KUPENDEZA KWA AJILI YA WATOTO.
Tunasuka watoto mitindo mbalimbali ya nywele kama jinsi atakavyohitaji,tunasafisha nywele kwa kutumia sabuni za asili zinazotengenezwa na mitishamba,pia tunayo mafuta yanayolinda ngozi za watoto.Mifano ya nywele.
- Nywele za mistari(miembamba na mipana)
- Nywele za mawingu
- Nywele za selfie
- Nywele za eboebo
https://www.youtube.com/watch?v=yieoQS-1Kwc
Comments
Post a Comment